DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
ChaiAZAM 2- Simba 0
Haikwepeki hiiUtabiri wangu Simba anashinda 2-0
Azam 0 vs Simba 3. Kibu, Ateba, Ateba1-1 FT
Fei toto.View attachment 3107568Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC
Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex,
View attachment 3106819
View attachment 3107567
Wanaocheza unawajua?Ngoja tuwapigie huku huku ukweni kwao.
Simba which? 😂😂Watu wa mpira wanajua Simba Bingwa
Usisahau mrejesho humu ndani 😊Makolo anakufa leo, hii hela ya bure kabisa ngoja niwahi sportybet fasta.