FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Tunzeni hii risit
 
Utashangaa timu ananyang'anywa Mgunda na kupewa "Mzungupori" msimu ujao.

Kikubwa ni asiwe mzawa na akiwa mweupe ni sifa ya ziada.

Au Mgunda ni "deiwaka" asiye na leseni.
 
Em kuwa serious basi..
 
Yaani leo kununua mechi ili usiikose nafasi ya 2 umeshasahau 7-2[emoji23]
Naombaa usemee yotee leo, siku tutapokaa kwenye nafasi yetu, kusiwe na jipyaaa. Uwanja ni wako sasa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utashangaa timu ananyang'anywa Mgunda na kupewa "Mzungupori" msimu ujao.

Kikubwa ni asiwe mzawa na akiwa mweupe ni sifa ya ziada.

Au Mgunda ni "deiwaka" asiye na leseni.
Hili huwa linanishangaza sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…