FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Mi vyura sasa ilivyovimba....kipigo kitakatifu...
Mechi ngumu matokeo ya kibabe.
Simba na Azam wanagombania majina ya kike, mmoja anataka aitwe PILI mwingine anataka aitwe TATU๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Simba na Azam wanagombania majina ya kike, mmoja anataka aitwe PILI mwingine anataka aitwe TATU๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kaeni kwa kutulia hayo ni maneno tuu kama ya kwny kanga....yani mtatunga sana verse bila kurekodi
 
Hapo kesho Sasa anavyoyaona mbumbu fc km mazezeta utasikia "mbio za ubingwa ndio zimeanza rasmi". Na yenyewe oyeeeeee... Huku kisugu na mbichwa wake akisema uwanja wa Azam sio mzuri kwa mechi za Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ