FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Kila la heri Azam FC.

Japo mkisuruhu au kufungwa ,wananchi tutahitaji mechi moja tu tutangaze ubingwa.
 
Yaani bora ubingwa uchelewe kuliko Simba ashinde. Yale yale ya utakachoomba jirani yako anapewa mara mbili halafu unaomba chongo.
 
Dah!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…