FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Moderator Paw Hivi huu mtindo wa mtu kutaka kupost content unagomewa na kuambiwa kuwa "please enter message with more than 3 words" na wakati nimeandika zaidi ya maneno matatu umeanza lini?

Mnatufanya watu tuonekane hamnazo kuwa hatujui kingereza?
 
Mwamba huyu hapaaaaaaaa
[emoji23]
44b95da6f233443298e50c1fd4191796.jpg
 
Huyo aliefunga azam.kalia kama kafiwa yani hili bao lake leo ataota
 
Moderator Paw Hivi huu mtindo wa mtu kutaka kupost content unagomewa na kuambiwa kuwa "please enter message with more than 3 words" na wakati nimeandika zaidi ya maneno matatu umeanza lini?

Mnatufanya watu tuonekane hamnazo kuwa hatujui kingereza?
Hata mimi nimeliona hilo mkuu
 
Hii timu iliyocheza na azam leo siyo simba ni ihefu.
Tambo zote zile mara gadiola mnene, sijui mpira utembee, tembezeni mafi yenu.
Kesho fukuzeni benchi lote la ufundi
 
Juma Ramadhan Mgunda nakukubali ila leo umezingua tangu asubuhi. Kama vipi wewe fundisha ila kikosi tuachie mashabiki tupange. Azam wana kasi na ni vijana wadogo walihitaji vijana wadogo wenzao. Game hii kumchezesha Nyoni, Bocco, na Mkude na kuwaingiza akina Banda, Sakho dakika za lala salama ni kulewa sifa. 😭
 
Back
Top Bottom