FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

Namungo piga mbwa haooo.... Tuone viclip [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii timu inatia hasira sana, alafu wachezaji hawaoneshi nia ya kuipigania timu, wapo wapo tu.
Hawa wanajuwa kuipania Yanga tu, na tajiri yao alivyo boys aliwaahidi million 500 wakiifunga Yanga.

Feitoto amekosea hesabu za maisha, pesa siyo kila kitu katika maisha.

Sasa kwa kucheza timu bovu kama hilo scout gani atakayemuona?
 
Tusifichane wachezaji Hawa mtaki Kocha wanamgomo
 
Si waliikazia yanga juzi haya sasa nguvu waliyotumia imeisha na hawakupata matokeo!
 
Azam hata 1X anakataa🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…