FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Zanzibar Finest ni m1 tyuuh, epuka matapeliiii.
 
Yanga ni Aucho, Aucho anaituliza sana timu. Magoli yote mawili yaliyofungwa leo ni ya uzembe wa hali ya juu. Na pia inawezekana wachezaji wamechoka kutokana na mucheza mechi mfululizo ndani ya siku chache tena ni mechi zilizokuwa ngumu
Wee tuachee emu huko, sisi tuna kikosi kipanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na dawa 3 ya kutuliza maumivu, ninazo nagawaa bureee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimya kimetawala mtaani,Simba tulichemka kufungwa na Prison hawa utopolo jana baada ya mechi wangeshamtimua kocha
 
Matokeo ya leo yamenifadhaisha sana. Nimepata msongo mkali sana wa mawazo ila nikawahi kupatiwa huduma ya kiakili mapema.
Mbona bado hata msongo haujakupata vyema, masandawana wanakuja kuwawehushaa kabisaa.
Patamuu hapoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…