FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

kwa hii lugha yako inaonekana hujui mpira mkuu.
Gamondi ni kocha na tactics anazo ila wachezaji leo ndio wamemuangusha.
Kibabage,Sure boy wamezingua sana leo.
Pia ile mechi hakutakiwa kumchelewesha Okrah,Okrah ile mechi ilikua inamuhusu sana.
GAMONDI KOCHA we subiri tumalizane na sundowns hakuna ataebaki kuwa kizingiti kwetu pale juu hatushuki ng'oo!
Kama Al ahly inafungwa na timu ndogo za Misri sembuse Yanga??
Sasa kumbe mnajua kwamba timu kubwa zinaweza Kufungwa na timu ndogo, lakini haina maana kwamba ni mbovu, ila cha ajabu simba ikifungwa ni mbovu ila yanga ikifungwa ni matokeo tu [emoji849][emoji849]
 
Sasa kumbe mnajua kwamba timu kubwa zinaweza Kufungwa na timu ndogo, lakini haina maana kwamba ni mbovu, ila cha ajabu simba ikifungwa ni mbovu ila yanga ikifungwa ni matokeo tu [emoji849][emoji849]
Hiyo kesi ya Simba ni nyingine mkuu.
Simba aisee ni special case tuongee kimpira tuache ushabiki.
Ifuatilie Simba hata dhidi ya Mashujaa tizama wachezaji wao,Simba Benchika anawaokoa sana ila wachezaji hakuna.
TIzama game ya jana halafu tizama mliofungwa na Prisons pia tizama tuliofungwa na Ihefu halafu compare and contrast.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jana nilikua buzzy sanaa,
Aaaah wapii huna lolote kwani sijaona comments zako baada ya comment yangu!?
We sema ulikua unavizia matokeo tuu.

😂😂😂😂😂
 
Hiyo kesi ya Simba ni nyingine mkuu.
Simba aisee ni special case tuongee kimpira tuache ushabiki.
Ifuatilie Simba hata dhidi ya Mashujaa tizama wachezaji wao,Simba Benchika anawaokoa sana ila wachezaji hakuna.
TIzama game ya jana halafu tizama mliofungwa na Prisons pia tizama tuliofungwa na Ihefu halafu compare and contrast.
Mkuu kwa mujibu wenu yanga mpira ni magoli kwamba mradi timu imefungwa basi hiyo ni mbovu hakuna mjadala, hao kina ihefu na kagera sugar sie tuliwafunga na azam tulitoa draw, kwani walivyocheza na sie ni tofauti na walivyocheza na nyie au
 
Back
Top Bottom