utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Mkuu iyo nafasi tutaipata Kwa juhudi zetu na sio kwa kupewa kwani miaka sio mingi naiona Yanga inaenda kutawala soka la Afrikayanga anakupiga, mpira anamiliki na burudani anakupa
fifa watupe nafasi ya kombe la dunia la vilabu dunia ifurahie soka
Hahaha na mwakani chama ni mwananchiAzizi Ki anashangilia kama Chama inaonekana ni role mode wake
Atacheza number ya nani?Hata akisema anabaki wamkatae hatumtaki tena
Anajua kufunga ila acha dharau kwa kylian.Namfananisha mayele na mbape, tena kamzidi mbape
Wamejaribu kuvaa jezi nyeusi lakini waaapi. π€£Yan Azam wenyewe ndio hawa weupe hivi?
Emayel & Hersi wanawajua sanaNamfananisha mayele na mbape, tena kamzidi mbape
Sisi ndio mabingwa wa kipindi cha pili. Nyie wenyewe mnalijua hiloKipindi cha pili Azam wanarudi kifaransa.
Mpira huu ndugu. Mpaka uishe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiunyonge sana.. endeleeni na tantarila zenu kuhusu Feitoto huku sisi tuzidi kuwatimulia vumbi huku kileleniMi siangalii mpila
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] umeua mkuKabisa mkuu. Azam bado wanayo nafasi ya kupigwa tu
Kweli mkuu. Tuendelee kumpa heshima yake asee pamoja na madhaifu yaliyojitokeza tusimbeze kabisa.Fei toto ana heshima yake aisee! Hata kama ana madhaifu machache ya hapa na pale, kuhusu hiyo ishu yake ya mkataba.
Nipo hapa maeneo ya chamazi sijajua hizi bar za huku wana faibu na mpira kiasi hiki nimependa Dj aweka sauti goli likifungwa anapiga sound track I like thatJaman jaman jaman hii Yanga hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πͺππππ ππ πππππ¨π ππ‘π π¨ππ«π π¨ππ‘πππ«πππ π¨πππ ππ ππππππ¦ π€πππ...Hii game ikiisha hivi basi rasmi yanga ndio bingwa wa msimu huu, na hakuna mbambamba.
Naona mnaipambania nafasi ya pili kwa nguvuKipindi cha pili Azam wanarudi kifaransa.
Mpira huu ndugu. Mpaka uishe
No hastahili iyo heshima. Alipaswa kuufata uongozi Kisha kuwaambia Azam wapo tayari kunilipa hivi je ninyi mpo tayari au niende zangu? Yeye amefanya Siri akachukua mpunga wa Azam Kisha kaenda kulipia mkataba yake.Yes mkuu tate, whatever happens
FEI toto anastahili heshima yake jangwani, it's football, it's life pia
Tumuache aende kwenye maslahi bora au tumboresheee ili abakie
Tutapiga wote ili wakikutana wasimuliane vizuriNdio ma shost zake na wale jamaa wa Coster
Sio jinai boss, ila kwa kiwango cha Fei na umuhimu wake ni aibu.Hahahaaa.. jamaa umenichekesha sana
Yan kwa namna ulivyoandika utafikiri ni jinai kumlipa mchezaji hivyo
Na kama una kumbumbu nzuri awali Nabi alipokuja Yanga alikuwa anataka Yanga icheze hivyoAzam na Simba wana mchezo unaofanana ambao kutokuwa na wachezaji wanaofungua haraka na wachezaji wanaoinua macho uwanja mzima. Kongole kwa Nabi.