FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Huyu Dube ni mchezaji mzuri lakini akipoteza mpira hajishughulishi kukaba. Namkubali Sakho kwenye anga hizi. Akipoteza mpira anarudi mbio kukaba.
 
Ndugu unamaanisha Mbappe yule alopiga hatrick WC final 2022 Qatar?

Au una wenge la wanzuki
images - 2022-12-25T213004.170.jpeg

Labda ana Mbappe wake.
 
Back
Top Bottom