Kwani wachezaji jezi zao hazikufika kwa wakati? Simba kwenye safari yao ya Guinea walibadili jezi na track zaidi ya 6 na zote kali.Okay mmetisha hamvai jezi mpaka zipigwe pasi tena na dobi wa nje ya nchi.
Duh, nusu!Otherwise tufike nusu CL
Achana na hizo moka za buku buku pale karumeOkay mmetisha nyie wenzetu hamvai jezi mpaka zipigwe pasi tena na dobi wa nje ya nchi.
hivi hii timu iko ligi ganiTumefunga bao 2
Kama kurukaruka kunakuwa na impact hivi, basi kurukaruka ni faida
Sasa zile zilizo chelewa zilikuwa za akina nani?Kwani wachezaji jezi zao hazikufika kwa wakati? Simba kwenye safari yao ya Guinea walibadili jezi na track zaidi ya 6 na zote kali.
Nyie mmeishia kubandika Haier juu ya SportPesa. Unadhani watu hatujaona. Tumeamua tu kupotezea maana ni mambo madogo hayo.