SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwani wachezaji jezi zao hazikufika kwa wakati? Simba kwenye safari yao ya Guinea walibadili jezi na track zaidi ya 6 na zote kali.Okay mmetisha hamvai jezi mpaka zipigwe pasi tena na dobi wa nje ya nchi.
Nyie mmeishia kubandika Haier juu ya SportPesa. Unadhani watu hatujaona. Tumeamua tu kupotezea maana ni mambo madogo hayo.