Umesahau na ya tarehe 12/01/2025 real madrid 2 - 5 barcelona ya supercopa de espanaMechi zenye magoli mengi El Classico:
13/06/1943
R. Madrid 11-1 Barcelona
03/02/1935
R. Madrid 8-2 Barcelona
24/09/1950
R. Madrid 2-7 Barcelona
02/05/2009
R. Madrid 2-6 Barcelona
13/04/1916
R. Madrid 6-6 Barcelona
10/01/1943
R. Madrid 5-5 Barcelona
11/05/2025
LIVE:
R. Madrid 2-4 Barcelona
Xabi atawasumbua Barcelona sanaXabi
Na ile baka ilikua sio ya kawaida na kumbuka fainali na Manchester nilipata tumbo la kuharaWe acha mpira kama vita watu wanataka kutoana roho ,nakumbuka mess alikua anakosa raha sana akikutana na sergio ramos 😝😝
Huwezi kuwa Barca ukawa Madrid plastic fanBado siamini sema poa tu barca huku madrid kule zote timu zangu akininyima raha huyu mwingine ananipa raha bila hivyo sitaki presha za kijinga za mpira
Messi kaifunga sana tu Madrid ya RamosWe acha mpira kama vita watu wanataka kutoana roho ,nakumbuka mess alikua anakosa raha sana akikutana na sergio ramos 😝😝
sijataja zote nitajaza server bure!Umesahau na ya tarehe 12/01/2025 real madrid 2 - 5 barcelona ya supercopa de espana
Madrid ni wabovu msimu huu.N
Nasemea utulivu baada ya kufungwa na kuwa na Imani ya kurudisha....ila ona kwa Madrid wanachanganyikiwa
Tunazungumzia ligiHuku Barca ikiwa na UCL ngapi ?
Tusubiri tuone msimu ujao ila ana tatizo la kuruhusu sana magoli Leverkusen msimu jana na msimu huu ni moja ya matatizo yake japo pia kufunga ana funga mengi tu.Xabi atawasumbua Barcelona sana
Maana Barcelona ndani ya msimu huu pekee 24/25 akishinda na leo inakuwa mara ya nne mfululizo. Babu Lewandoski bado hajaingia.Ushindi wa El Classico mfululizo!
1 Real Madrid - Mechi 7
22/04/1962 hadi 28/02/1965
2. Real Madrid - Mechi 5
01/03/2020 hadi 20/03/2022
3. Barcelona - Mechi 5
13/12/2008 hadi 29/11/2010
Vikosi pia vinaamuaNi kweli hujaongopa,takwimu hazidanganyi eti😝
Xabi anajua kukamia sana ,kama msimu uliopita aliweka nadhiri ya kuchukua kombe ,hata unbeaten yake ilikuwa ndefu.Tusubiri tuone msimu ujao ila ana tatizo la kuruhusu sana magoli Leverkusen msimu jana na msimu huu ni moja ya matatizo yake japo pia kufunga ana funga mengi tu.
Naunga mkono hojaBarca wakiweza kuimarisha Ulinzi, itakuwa timu tishio misimu kadhaa ijayo.
Na amekandwa goli 4 leo 🤣🤣🤣Kocha mpya wa Madrid ni Alonso maana ameshaaga kule liverkusen,ana kazi kibwa sana kwa haya machezaji mazito.