FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Kila laheri Mnyama 🦁 🦁
 
Azam na Uto mmefika wapi kwa ligi ya mabingwa?

Mlidandia ubingwa msiouweza wezi kubwa nyie
Inastaajabisha wakati fulani! Eti simba inashiriki kwenye haya mashindano, baada ya kushika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu msimu uliopita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…