Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
ExactlyUkiwa na akili timamu hauwezi kuwa na matumani ha hii timu🚮
Ilijaa??Kuna faulo hapo inajaa kambani
Timu ya kihuni huni tu , uto wasipo wapasua 7 mara hii nao watakua wamezingua sanaUtimamu wa kufikiri kwa usahihi haupo kwa viongozi tu, hata wachezaji. Walipopata goli 2 wakarelux
Mgonjwa mahututi anamaliziwa na shoka tena😅Refa kaamua kuua kabisa
Brother, mimi nimeweka mkeka mapema sana nikawapa Simba direct win.
Aliyekuwa haiamini Simba kwa mechi hii ni punguani.
SawaWewe kama wale wakatoliki wa buza 😂
Ushindi lazima leo