πππUmetibua tena hali ya hewa ulipomtaja huyo Kocha uchwara, kwanza nina wasiwasi sana huenda Chelsea FC 2022/2023 tukashuka daraja...[emoji30]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Dogo bado hajakomaa anahitaji game time azidi kuwa fitHta Huyu kipa aanbiwe, Mambo ya kutema mipira aache; wakimjua watakuwa wanakuja wawili wawili mmoja anapiga shuti mwingine anaenda kumalizia
Basi tulidhani wydad ni litimu likubwa kumbe kama simba tu mmeshindwa hata kuifananisha na utopoloHeshima inayobakia kwenye historia ni ile ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Ila siyo hiyo ya kumfunga Wydad! Maana na yenyewe ni timu tu kama simba.
Hii ingeruhusiwa ya makipa wawili ingenogaMourinho anajua kupaki basi, nafasi bado ipo sana tu ya kuvuka. Na safu yetu ya ushambuliaji iko vizuri, hatuwezi kukosa goli kule.
Tutawashtukiza kwa kigoli cha dakika ya 1 kama tulivyowapiga Uto, halafu tunaweka makipa wawili.
Nne kamiliSaa ngapi hii mechi?Niliona tangazo ila sikumbuki walisema saa ngapi.
Kwenye bolu lolote linawezekana inawza leo wamecheza kiwango hovyo na kule kwao wakacheza vizuri halafu simba akashinda au kudrooASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.
Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.
Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimekupata mubashara Mamaa Pisi Kali ya kibantu...[emoji1666][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua inauma ila Pole sana,
Hili suala la msiba tutalizungumza vyema kwenye thread yetu..!!
Hapa tutaharibu pilau za watu..!
Msimalize maneno, wydad amelala.Hapo ndio udogo wa timu ulipo Sasa. Yaan hizo chance zingekuwa ni kwa wydad akiwa nyumbani simba angekula zaidi ya tano
Kabisa kabisa. Nafasi zilipatikana za nzuri zaidi ya 3. Ila ngoja away. Akienda na aproach ile aliopigiwa raja nafasi ipo. Ttzo la simba akiwa uarabuni anafungwa goli zaidi ya moja hasa dakika za mwisho. Hilo robertinho inabd aliangalie. Kwa mtazamo wang mechi ijayo saido aanzie nje chama arudi katikati then kipindi cha pili faida ya saido na enrgy yake ionyeshe angalau manufaaKwa kutokutumia nafasi tulizopata, leo tumeaga mashindano
Hapo ndio udogo wa timu ulipo Sasa. Yaan hizo chance zingekuwa ni kwa wydad akiwa nyumbani simba angekula zaidi ya tano
Au sioMawazo ya hovyo toka utopolo united!
Somq post 765 jinsi nilivyokuwa neutral kuhusu mechi mtayocheza ugenini.Kwenye bolu lolote linawezekana inawza leo wamecheza kiwango hovyo na kule kwao wakacheza vizuri halafu simba akashinda au kudroo
USHINDI.
SULUHU.
KUFUNGWA.
Saa ngapi hii mechi?Niliona tangazo ila sikumbuki walisema saa ngapi.
TuacheMuda bado simbilisi tunzeni furaha
Bado hajapata Game time ya kutosha na uzoefu wa game za kimataifaLeo nitakuwa makini kumuangalia huyo golikipa namba 3, ili nijiridhishe kama kweli ni hodari mlangoni, au kwenye mechi na Yanga mchezo tu ndiyo ulimkubali.
Basi sote tubaki na mitizamo yetu.Mmmmh wee hapanaaaa, mie cna imani na waarabu kabisa hasa waliwa kwao, itatumika kila mbinu washinde mweeeh