FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Umetibua tena hali ya hewa ulipomtaja huyo Kocha uchwara, kwanza nina wasiwasi sana huenda Chelsea FC 2022/2023 tukashuka daraja...[emoji30]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😂😂😂
Najua inauma ila Pole sana,
Hili suala la msiba tutalizungumza vyema kwenye thread yetu..!!
Hapa tutaharibu pilau za watu..!
 
Mourinho anajua kupaki basi, nafasi bado ipo sana tu ya kuvuka. Na safu yetu ya ushambuliaji iko vizuri, hatuwezi kukosa goli kule.

Tutawashtukiza kwa kigoli cha dakika ya 1 kama tulivyowapiga Uto, halafu tunaweka makipa wawili.
Hii ingeruhusiwa ya makipa wawili ingenoga
 
Hapo ndio udogo wa timu ulipo Sasa. Yaan hizo chance zingekuwa ni kwa wydad akiwa nyumbani simba angekula zaidi ya tano
 
ASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]

Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.

Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.

Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwenye bolu lolote linawezekana inawza leo wamecheza kiwango hovyo na kule kwao wakacheza vizuri halafu simba akashinda au kudroo
 
Waarabu wahuni tu, picha linaanza pale kwao dakika ya pili wamepewa penalti, dakika ya tano mmekula red, dakika ya 8 pressure imeshapanda tunajifunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mpaka kipindi cha kwanza kiishe wote tumechoka mpaka mashabiki huku Vingunguti🫣🫣🫣 tunaangalia dakika tu mpira uishe...
 
Kwa kutokutumia nafasi tulizopata, leo tumeaga mashindano
Kabisa kabisa. Nafasi zilipatikana za nzuri zaidi ya 3. Ila ngoja away. Akienda na aproach ile aliopigiwa raja nafasi ipo. Ttzo la simba akiwa uarabuni anafungwa goli zaidi ya moja hasa dakika za mwisho. Hilo robertinho inabd aliangalie. Kwa mtazamo wang mechi ijayo saido aanzie nje chama arudi katikati then kipindi cha pili faida ya saido na enrgy yake ionyeshe angalau manufaa
Hapo ndio udogo wa timu ulipo Sasa. Yaan hizo chance zingekuwa ni kwa wydad akiwa nyumbani simba angekula zaidi ya tano
 
Kwenye bolu lolote linawezekana inawza leo wamecheza kiwango hovyo na kule kwao wakacheza vizuri halafu simba akashinda au kudroo
Somq post 765 jinsi nilivyokuwa neutral kuhusu mechi mtayocheza ugenini.

Pia hata kabla ya mechi ya leo utaelewa sijawahi kushabikia upande flani nikabeza upande mwingine sababu matokeo huwa ni;

KUFUNGWA.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mmmmh wee hapanaaaa, mie cna imani na waarabu kabisa hasa waliwa kwao, itatumika kila mbinu washinde mweeeh
Basi sote tubaki na mitizamo yetu.

Simba huwa wana nyota sana na hii michuano haswa wakiwa na timu ya kawaida.

Umesahau kipindi mnapigwa HAMSA HAMSA lakini mliongoza kundi na kutinga robo fainali mbele ya Al Ahaly, AS Vita na Al Saura tena zikiwa za moto?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom