Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
😂😂😂Umetibua tena hali ya hewa ulipomtaja huyo Kocha uchwara, kwanza nina wasiwasi sana huenda Chelsea FC 2022/2023 tukashuka daraja...[emoji30]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Najua inauma ila Pole sana,
Hili suala la msiba tutalizungumza vyema kwenye thread yetu..!!
Hapa tutaharibu pilau za watu..!