Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
π€£π€£π€£We msenge umenichekesha kweli haya yote yetu π€£π€£π€£π€£
Kila la kheri chama langu WydadKikosi cha Wydad leoView attachment 2596259
Kumuangalia huyo mtoto kwa waarabu utakuwa unamuonea, utopolo na waarabu ni sawa na mbingu na ardhi.Leo nitakuwa makini kumuangalia huyo golikipa namba 3, ili nijiridhishe kama kweli ni hodari mlangoni, au kwenye mechi na Yanga mchezo tu ndiyo ulimkubali.
SawaLeo mnaongea kinyonge sana
Watu wanaogopa kuanguka hovyo uwanjani kwa maradhi ya moyo.Huu mwitikio wa mashabiki sijui kwann umekuwa mdogo.
Simba anafungwa leo 3 bilaUnabii SIMBA 2:0
Na Yanga kesho anapigwa katereroLeo Simba anapigwa ,Simba atapigwa nje ndani.
Huyo dogo kwenye Avatar yako akimaliza konyagi lazima afeππππ€£π€£Mpaka kufika saa kumi na mbili jioni makolo fc watakuwa wameshajua mbivu na mbichi . Kikubwa uzalendo muhimu japo haitasaidia kuepuka mvua ya goli tano