Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
mwee yasije kujirudia ya dotimundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Club | MPMatches played | WWins | DDraws | LLosses | PtsPoints | GFGoals scored | GAGoals against | GDGoal difference | Last 5Last 5 matches | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
6 | El Bayadh | 23 | 9 | 6 | 8 | 33 | 24 | 18 | 6 | Win Loss Win Win Draw |
7
| JS Saoura | 23 | 9 | 6 | 8 | 33 | 25 | 20 | 5 | Loss Win Draw Loss Loss |
8
| USM Alger | 21 | 9 | 5 | 7 | 32 | 25 | 17 | 8 | Loss Loss Win Loss Win |
Amekuwahi nini mkuu?Umekaa unawaza kuanzisha uzi 🙆 yani miuto hainaga akili hata moja
Huu ni mwaka wa visasi kwa timu zote ambazo zimeifunga Yanga siku za nyuma.Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa
Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Alger
Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa.
Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, na pia ziliwahi kukutana kwenye msimu wa 2018 ambapo Yanga alifungwa kwa hiyo mechi hii inaweza kuwa ya kisasi
Nini kitatokea?
Karibuni kwa live updates kuanzia mwanzo, kati na hata mwisho wa mtanange huu muhimu!
Kwa wanaofuatilia kwenye Tv.. Azam (zbc 2) na Dstv ( Chaneli namba225) watarusha mubashara mechi hii
Kwani wewe unateseka ukiwa wapi mrembo?Utafikiri unakimbizwa!? Pumua kidogo basi.... Kwani kuanzisha uzi huwa mnalipwa!?
Na kama linahitajika kafara la roho ya mtu basi wamtowe Manara tu itapendeza zaidi.Katika ulimwengu wa Roho, Eng Hersi na wenzake wamemalizia kulicheza game asubuhi hii. Japo haijaonekana na kuwa clear ni ngapi ngapi kama ile ya Marumo ila keshaumaliza mchezo asubuhi hii na wananchi wanashinda possibly 3 goals.
Pamoja na kwamba walichofanya ni nje ya mfumo wa kimungu ila kwa kuwa mi ni mtanzania nawapongeza kwa hilo. Nchi kwanza.
Leo watavaa chupi kichwani hawa nyang'au.Kwani wewe unateseka ukiwa wapi mrembo?
Yaani kuona Uzi kuhusu YANGA kavimbisha mishavu kwa hasira [emoji1][emoji1]Leo watavaa chupi kichwani hawa nyang'au.
Haukawiiusiku wa deni