FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Tuazime msemo wa jirani
p_6832124121384522232757_0_5e7075bc9850341bc4dd7edf10dd5eca.jpg
 
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa

Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Alger

Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, na pia ziliwahi kukutana kwenye msimu wa 2018 ambapo Yanga alifungwa kwa hiyo mechi hii inaweza kuwa ya kisasi

Nini kitatokea?

Karibuni kwa live updates kuanzia mwanzo, kati na hata mwisho wa mtanange huu muhimu!

Kwa wanaofuatilia kwenye Tv.. Azam (zbc 2) na Dstv ( Chaneli namba225) watarusha mubashara mechi hii
Yanga 3 _USM 1
 
Video za mechi zote za klabu hii ya kutoka Algeria katika michuano ya Bara la Africa ya CAFCC ili Tujikumbushe jinsi USM Alger's Ilivyofanikiwa kufika finali.

USM Alger's Road to 2023 #TotalEnergiesCAFCC Finals
Source : CAF TV

Nyumbani Katika msimamo wa Algerian Ligue 1 timu ya USM Alger's ipo nafasi ya nane katika ligi ya (daraja) la kwanza nchi Algeria .

JEDWALI YA MSIMAMO LIGI YA NYUMBANI ALGERIA
Club
MPMatches played
WWins
DDraws
LLosses
PtsPoints
GFGoals scored
GAGoals against
GDGoal difference
Last 5Last 5 matches
6​
El Bayadh​
23​
9​
6​
8​
33
24​
18​
6​
Win
Loss
Win
Win
Draw​
7​
CgZDRDAxMDA.png
JS Saoura​
23​
9​
6​
8​
33
25​
20​
5​
Loss
Win
Draw
Loss
Loss​
8​
CgYwMjAxMDE.png
USM Alger​
21​
9​
5​
7​
32
25​
17​
8​
Loss
Loss
Win
Loss
Win​
View attachment 2637453


Naona kuna magoli mengi ya vichwa & magoli yanafungwa kwa kasi kubwa. Utopolo waanze na mabeki wepesi & wazuri kwa mipira ya hewani.
 
Back
Top Bottom