G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Umewahi kuona shabiki wa Liverpool analazimishwa kuishabikia man u ikiwa inacheza champions? Nyie Yanga mnacheza ila kutwa kuisema Simba. Sasa hapo wa kwanza mwenye tatizo ni nani?Ushindi wa Timu ya Africa ni halisi, maana Vikwazo ni vingi. Hivi Mashabiki wa Liverpool ujawa na ujinga huu unaoonyeshwa na baadhi ya mashabiki wasiojitambua wa Simba wakati Man Utd inapocheza na AC Milan kwenye Champions league??