FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Haya sasa acheni zile game zenu nyepesi na timu dhaifu zilizotangulia leo hii ndo game yenu ya maana kuliko zote.

Na lazima mpasuke Gongowazi
 
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa

Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Alger

Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, na pia ziliwahi kukutana kwenye msimu wa 2018 ambapo Yanga alifungwa kwa hiyo mechi hii inaweza kuwa ya kisasi

Nini kitatokea?

Karibuni kwa live updates kuanzia mwanzo, kati na hata mwisho wa mtanange huu muhimu!

Kwa wanaofuatilia kwenye Tv.. Azam (zbc 2) na Dstv ( Chaneli namba225) watarusha mubashara mechi hii
na leo yanga atapigwa tena
 
Back
Top Bottom