FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Video za mechi zote za klabu hii Union Sportive de la MΓ©dina d'Alger ya kutoka Algeria katika michuano ya Bara la Africa ya CAFCC ili Tujikumbushe jinsi USM Alger's Ilivyofanikiwa ktk safari ya kufika fainali.
USM Alger's Road to 2023 #TotalEnergiesCAFCC Finals
Source : CAF TV

Nyumbani Katika msimamo wa Algerian Ligue 1 timu ya USM Alger's ipo nafasi ya nane katika ligi ya (daraja) la kwanza nchini Algeria .

JEDWALI YA MSIMAMO LIGI YA NYUMBANI ALGERIA
Club
MPMatches played
WWins
DDraws
LLosses
PtsPoints
GFGoals scored
GAGoals against
GDGoal difference
Last 5Last 5 matches
6​
El Bayadh​
23​
9​
6​
8​
33
24​
18​
6​
Win
Loss
Win
Win
Draw​
7​
JS Saoura​
23​
9​
6​
8​
33
25​
20​
5​
Loss
Win
Draw
Loss
Loss​
8​
USM Alger​
21​
9​
5​
7​
32
25​
17​
8​
Loss
Loss
Win
Loss
Win​
 
Katika ulimwengu wa Roho, Eng Hersi na wenzake wamemalizia kulicheza game asubuhi hii. Japo haijaonekana na kuwa clear ni ngapi ngapi kama ile ya Marumo ila keshaumaliza mchezo asubuhi hii na wananchi wanashinda possibly 3 goals.

Pamoja na kwamba walichofanya ni nje ya mfumo wa kimungu ila kwa kuwa mi ni mtanzania nawapongeza kwa hilo. Nchi kwanza.
 
Huu ni mwaka wa visasi kwa timu zote ambazo zimeifunga Yanga siku za nyuma.

Nawakumbusha tu Yanga hii ni colabo la AS Vita, Asec mimosa na Taifa stars, hii siyo Yanga ya kina Ditram Nchimbi, Molinga na Yikpe huku bechi la ufundi Mwinyi Zahera na vikaptula vyake, unapoangalia Yanga hii usiwe na pressure kabisa.
 
Na kama linahitajika kafara la roho ya mtu basi wamtowe Manara tu itapendeza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…