FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Pale litimu lako linaishia robo... eti una nguvu ya kuicheka timu inayocheza fainali. Zaidi hiyo ni Leg 1 of 2... lolote linaweza kutokea kwenye Final leg 2 of 2.
Tunawaachia uzi, timu mkeshe hapa. Yanga bado ni bingwa wenu wa NBC, mna mengi ya kutolea uchungu leo... tunaelewa.
 
Kipaa wa USMA ananidai hela ya Tendee, sio kwa Saves ile kona ya mudathir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga Mnatakiwa Kufunga Magoli 2 kule Algeria Bila Kuruhusu wao Kufunga Goli lolote lile.

Mtaweza? Wale Mallumo Mlijitahidi mkashinda 2-1 hawa Je?

Figisu za Mwaarabu wa Algeria ni Mbaya Kuliko wa Morocco au Egypt
Tena hawako ht CAF walitolewa mapemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…