Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😄🤣🤣🤣 kuna watu wana mambo. Hawajui Yanga anawakilisha Tanzania na waTanzania. Au nasema uongo jamani Shadeeya Bantu Lady Scars
Mji utatulia kwa muda tu baada ya kuchukua medali na ubingwa wetu wa NBC we will be back on roads, msimu huu tunaanzia chanika.Yaan kimyaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwa kombe lingine Mtani, ila bakiza akiba za maneno maana bado second final away.Na mbwembwe zote ...za kununuliwa tiketi...ma ahadi ya mamilioni na bado mmepata kipigo heavy kwenu hovyooooooooooooooo
Nilitabiri lakiniLeo utopolo wanakojolewa viwili
Kipaa wa USMA ananidai hela ya Tendee, sio kwa Saves ile kona ya mudathir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My Final Analysis
1_ Jamaa mipira ya juu wako vzr mipira ya chini ndio Moto wa kuotea mbali
2_ Mpira wanauweza na Wachezaji mpira wanautaka, tofaut na yanga wanaogopa kuuchezea.
3_Jamaa wanajua kufanya mikimbio ya hatari wamedrible ndani ya box la yanga zaidi ya mara 10 na wametembeza pasi zaidi ya 100 ndan ya box la utopolo.
4_ Hawabahatishi.. turejee goli la pili.
5_ hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kufunga hata 5. Ila nilichoona wana discipline sana wamekuja kutafuta ushindi na sio kudhalilisha mtu.
6_ Utopolo bila kubahatisha na kujaribu jaribu basi leo wasingepata chichote kitu, rejea goli la mayele hakuna mipango ya wazi.
7_ Jamaa wanabeki kali sijapata kuona...
8_Kona zote za yanga zilichezwa na wachezaj wa USM hakuna kona hata moja yanga walicheza ikamfikia mtu wao.
9_ Mipira ya kutengwa ni hatari kuliko utopolo.
10_ Kipa wa utopolo walikuwa wanamlenga tu kitu kilichokuw kinampa credits za kijinga. Refer goli la 2 hakuwa na responsiveness yoyotee kuokoa goli.
11_ MASHABIKI wa yanga hawana hamsha hamsha, hawana moto, hawajui kuisupport timu yao. Sasa sijui ndio hivyo tiket za bure wakaenda watu wasio na faida.
Full house kwa yanga haikuwa na faida.
Sasa mnakuja kwetu UARABUNI mje mjionee nini maana ya neno FULL HOUSE.
Mimi ni MTANZANIA MZALENDO.
Nawatakia USM ALGER ushindi huko nyumbani kwao na sio ushindi tu bali ushindi wa Goli nyingi
labda watoe huu mwiko kwanza
Yanga ya nini sasa?UKIPEWA YANGA NA ANDAZI UTACHAGUA NN[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mwenzako leo ukikaidi utapigwa2 kwenye huu uzi ataingia kwa kunyataNdo tuseme walau mmepata faraja leo Mtani. 🤣🤣
Mwanamke tulia hii mechi bado sana,hawa ni wananchi kumbuka sio makolo hawa,ugenini ni kama nyumban tu,usimalize manenoNa mbwembwe zote ...za kununuliwa tiketi...ma ahadi ya mamilioni na bado mmepata kipigo heavy kwenu hovyooooooooooooooo
Kabisa Mkuu yote yanawezekana. Tuisubirie tarehe 03.Kalpana naye kafufukia hii mechi, ila naamini mpira bado huwa una matokeo ya kutotabirika.
Nabi akijipanga sawa ugenini yanaweza kuwa maajabu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tena hawako ht CAF walitolewa mapemaaaYanga Mnatakiwa Kufunga Magoli 2 kule Algeria Bila Kuruhusu wao Kufunga Goli lolote lile.
Mtaweza? Wale Mallumo Mlijitahidi mkashinda 2-1 hawa Je?
Figisu za Mwaarabu wa Algeria ni Mbaya Kuliko wa Morocco au Egypt