zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Waambie waelekezeHAIJAKWISHA MPAKA IISHE
HAWA TUNAENDA KUWAPIGA KWAO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie waelekezeHAIJAKWISHA MPAKA IISHE
HAWA TUNAENDA KUWAPIGA KWAO
Kwani Chalamila anacheza namba ngapi ?Wanasiasa walipoingilia hii mechi na maneno mengi basi Washatia nuksi kama taifa stars
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji867]!
Tukishinda wapo nasi tofauti na Hapo sio wakuaminikasimba mlituaminisha tupo pamoja kwenye hii mechi, inakuaje mnatusnitch mapema hivi guys?! msifanye kwa ajili ya yule dogo wa andazi
Haya!Kipindi cha pili,Yanga anasawazisha na uwezekano wa kuongeza ni mkubwa.
Hawa hawana lolote. Walikuwa wanapokea wapinzani wa wenzao Airport.Mtani nakupenda all the best mkishinda tunashinda sote mkishindwa mtashindwa wote
mmekuwa wapoleee kama chura kanyeshewa na mvua ya maweYanga bado ana nafasi, walau hata ya kusawazisha.
Aziz Kii na Kisinda wangepumzishwa tu. Maana wameshindwa kuendana na kasi ya mchezo.Toa azizi ki anakaba wenzake
Amka utajinyeaHAIJAKWISHA MPAKA IISHE
HAWA TUNAENDA KUWAPIGA KWAO
Kwa dua hii kipindi Cha pili bora uto asiingize timuمسنينينينطنيننينينطنظوسويوذكم مورطويويووظنينينبنذطنطنبنبنبنن منطوينينينطنطنينينطنطنينينبنطنينين مننطرينينطنطنينيينينينينيننين DE UTOPOLO [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Hapana mkuu mie na mtani wa Bantu lady tu na si vinginevyo.Hii mitandao bana, unaweza ukakuta wewe ndiye Bantu Lady umenijia kivingine ili unipime upepo
USM Alger mwenye mpira wa kiwango cha chini tayari amekutungua kwenye uwanja wako wa nyumbani, kiwango chako tukijadili vipi?USM Algers mpira wao wa kiwango kidogo sanaaaa, kwa wanaojua mpira wanajua, ila ukiwa shabiki wa Simba hapa hutajua, mashabiki wa Simba hamna kombe lolote mwaka huu, mnashabikia waarab, nyoko
Wapi 🤧Endelea mkuu naona Uto fans wamesepa 😂😂
WameelewaWaambie waelekeze
Hapana. Mimi ni Mnyama Mkali wa Mwituni.mmekuwa wapoleee kama chura kanyeshewa na mvua ya mawe
Unaota ukiwa wapiYanga inashinda easily hii game, USM Algers haina mpira mkubwa hata kidogo, kiwango cha Yanga kipo juu sana, kwa Half time tumeona jinsi Yanga wamefika mara nyingi mno ktk goli la Algers, dak 45 zilizobakia mtaona moto mkali na Yanga anashinda
🤧USM Alger mwenye mpira wa kiwango cha chini tayari amekutungua kwenye uwanja wako wa nyumbani, kiwango chako tukijadili vipi?
Jitahidi akupe hela ndefu , itutoshe wote huko .Ndyo naandaa Ticket hapa kwa jimama linipe nauli
مبنينيينوطوووصنصمظنظوطويوييويويىيىيىىىىىUJE LODGE BAADAE نينينينيطووطوطوطوطوطو[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]