FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Mazembe sio timu ya ushindan?unawafikia kwenye mafanikio?we mwakarobo mechi za caf huziwezi
Sizungumzii rekodi nazungumzia currently Quality

Hiyo Mazembe iliyopata hayo mafanikio ilikuwa na Quality hii ya sasa hivi?
 
Leo ni siku ya kulalal usingizi wa kipekee sana
FuA18NKXwAUSUzD.jpg
 
Yanga wametembeza mbungi sana..nimefurahia wameimprove sana wame possess vizur sana. Ila naamini wanaweza pindua meza waongeze ushapu sana wakienda kwao.
Waarabu wanafitna sana kuchelewesha mpira.naamini chochote kinaweza tokea Dk 90 kule kwao zitaamua
furaha yetu ni kwamba wamefungwa hayo mengine mkayajadili kwenye vikao vyenu
 
Back
Top Bottom