Mi pia nawatakia heri warudi salamaKila la kheri kwa Tanzania...
Yap warudi salama maana ya Mungu mengi huko angani ndugu zetu wanahitaji dua kweliKila la heri Yanga, kila la heri Tanzania...
Wananchi 3 USM mtungi🤸🤸🤸Natabiri 3-1
Hawezi kabisaaaaMungu hawezi kubali wanaSimba tudharirishwe na kuzodolewa
Shem una fujoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AL HABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAIFIQمسسوينينينثنثنثنيينثتبنبنيتيتينيتينيننينييتتيننبنبنينتتتطتطتطرربتبذتتينببتطوينينثنينتطستينينطتظريرثتبننيتنMMMWAMNYETO MOCHWARI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulizanaaa udugu, kikubwaa uwe mvumilivuKila la kherii wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji123][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169]
Haya bana, Simba mnamaneno walahiNashangaa watu wanazunguzia yanga kushinda....... Dakika tisini yanga hata akipata on target Moja tutamshukuru sana mungu.