FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Bado itabaki kuwa YANGA ni timu bora afrika mashariki na kati..
Usitumie hisia..Tusibiri CAF wenye mpira wao Watoe Rankings za Vilabu Bora Afrika tuone klabu ipi ni Zaidi Afrika Mashariki na Kati baada ya Mashindano yote kuisha.!
 
Hata kwenye darasa la wajinga, wakawanza na wa pili hupatikana.

Hatupaswi kuisifia Yanga kwa kuonekana nzuri miongoni mwa team za kijinga, kwanini hakuwa bora huku CAFCL?
We Jamaa huna akili... kama CAFCC ingekuwa si michuano ya maana, msingekaa napa kuomba Yanga asiwe Bingwa huku mkimsifu USMA na kufurahia ushindi wake... kama mashabiki wenyewe wa makolo mtaendelea kuwa na akili za hivi... mtaishiaga robo finali na kujiambia kwamba ninyi ni bora.... acheni ukolo, sio kila wakati mjitoe akili
 
Mijitu ilifungwa Morocco ikaja na na kelele eti za "kufa kiume" kufa kiume wakati yaliloweshwa. ๐Ÿ˜…
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Njoo kiume muujue ugumu wa kufika hiyo robo fainali, makundi yenyewe tu una miaka 30.
 
Kutochukua kombe, it's a pain in ass kwa wengi wenu maana mlikuwa na kiranga sana.


Mimi sina shida zaidi ya kufurahi tu, sina baya.
Haya yanga kakosa ubingwa wewe timu yako imechukua nini?. Au mnalazimisha furaha ๐Ÿ˜…
 
Msimu ujao? Kwani huu ilikuwaje ukatoka kule kiumeni licha ya kupangiwa ZALAN FC ambao hata safari ya kurudi kwao tu Sudan walitumia mwezi mmoja njiani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huku nilipo nishawahi kufika robo ,msimu huu nimefika robo na fanali nimefika.

So huko CAFCC nikifika robo ,ujue ndio fainali.

Wewe endelea kushiriki na kuishia robo mwisho wa siku itafahamika nani anahesabu nazi na nani anahesabu makuti.

Ndio tayari mwenzako.
1.Nimefika fainali.
2.Nimeshika nafasi ya pili.
3.Nina medali.
4.Nimetoa mfungaji bora.
5.Kipa bora.

Ni rekodi ambayo inawezekana husije uiona ila si wenzako moments hii yumeiona bila kuota moto katikati ya uwanja.
 
walishapanga mipango ya kwenda CAF Super Cup na Club World Cup. Tuwaambie waende tu maana ile Dreamliner inafika popote duniani ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Unakuta Kuna kijanaume nacho kinasimama kinashangilia USMA kuchukua kombe huku kimelowa kimoko [emoji28][emoji28], afu ukikiuliza haya USM amechukua vipi wewe una nini kwenye kabatini ni tobo tu.
Uzuri hata nyinyi mlilowa viwili kabla ya hii mechi, najua kukosa kombe kumekutoa kumbukumbu yote[emoji23].
 
ู…ุณูŠูˆูŠูˆูŠู†ู†ุจู†ุจู†ุจู†ุจุจู†ุจู†ุฐู†ู†ุฐูˆุฐูˆุฐูˆูŠูˆKUFA KIUME FAINAL[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
July 5
Wazee wa medali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Njoo kiume muujue ugumu wa kufika hiyo robo fainali, makundi yenyewe tu una miaka 30.
Kiume wapi unaishia robo, maana hata shirikisho unaishia robo ila Yanga fainali.

Mimi huko nikifika robo ujue ndio naingia fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ