FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Bado itabaki kuwa YANGA ni timu bora afrika mashariki na kati..
Usitumie hisia..Tusibiri CAF wenye mpira wao Watoe Rankings za Vilabu Bora Afrika tuone klabu ipi ni Zaidi Afrika Mashariki na Kati baada ya Mashindano yote kuisha.!
 
Hata kwenye darasa la wajinga, wakawanza na wa pili hupatikana.

Hatupaswi kuisifia Yanga kwa kuonekana nzuri miongoni mwa team za kijinga, kwanini hakuwa bora huku CAFCL?
We Jamaa huna akili... kama CAFCC ingekuwa si michuano ya maana, msingekaa napa kuomba Yanga asiwe Bingwa huku mkimsifu USMA na kufurahia ushindi wake... kama mashabiki wenyewe wa makolo mtaendelea kuwa na akili za hivi... mtaishiaga robo finali na kujiambia kwamba ninyi ni bora.... acheni ukolo, sio kila wakati mjitoe akili
 
[emoji16][emoji16]
JamiiForums1526802129.jpg
 
Mijitu ilifungwa Morocco ikaja na na kelele eti za "kufa kiume" kufa kiume wakati yaliloweshwa. 😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shanga siji hatuzijui labda wanapewa wanao ishiaga robo ndio maana wewe unazijua mpaka zinapopatikana, inawezekana mpaka sasa mnazo pair nne maana robo mmeishia mara nne. Sisi tunazo zijua medali na leo tumeziona live wachezaji wakivaa.

Hii michuano unayoiita haieleweki, ndio iliyokufanya ubebe lundo la kuni na vibiriti ukaota moto katikati ya uwanja na ukapigwa faini ya dola elfu kwa kuharibu pitch ya watu South.

Uzuri kaka yako Yanga kaenda kukufutia aibu baada ya kulitia aibu taifa.
Njoo kiume muujue ugumu wa kufika hiyo robo fainali, makundi yenyewe tu una miaka 30.
 
Kutochukua kombe, it's a pain in ass kwa wengi wenu maana mlikuwa na kiranga sana.


Mimi sina shida zaidi ya kufurahi tu, sina baya.
Haya yanga kakosa ubingwa wewe timu yako imechukua nini?. Au mnalazimisha furaha 😅
 
Msimu ujao? Kwani huu ilikuwaje ukatoka kule kiumeni licha ya kupangiwa ZALAN FC ambao hata safari ya kurudi kwao tu Sudan walitumia mwezi mmoja njiani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huku nilipo nishawahi kufika robo ,msimu huu nimefika robo na fanali nimefika.

So huko CAFCC nikifika robo ,ujue ndio fainali.

Wewe endelea kushiriki na kuishia robo mwisho wa siku itafahamika nani anahesabu nazi na nani anahesabu makuti.

Ndio tayari mwenzako.
1.Nimefika fainali.
2.Nimeshika nafasi ya pili.
3.Nina medali.
4.Nimetoa mfungaji bora.
5.Kipa bora.

Ni rekodi ambayo inawezekana husije uiona ila si wenzako moments hii yumeiona bila kuota moto katikati ya uwanja.
 
Waache ujinga wao kama wamechoshwa na kero walale na sio kutupangia namna gani tushangilie

Simba ilitolewa humu kila mmoja aliona dhihaka zilizofanywa na mashabiki wa Gongowazi

Ikaenda hadi kwa uongozi wa Club ya Yanga eti wakaunda tamasha kwa ajili ya kuicheka Simba.

Watu hawa leo hii ndio wanaotaka kutuziba midomo.

Sheeeeenziiiiiiii
walishapanga mipango ya kwenda CAF Super Cup na Club World Cup. Tuwaambie waende tu maana ile Dreamliner inafika popote duniani 🤣😂🤣
 
Unakuta Kuna kijanaume nacho kinasimama kinashangilia USMA kuchukua kombe huku kimelowa kimoko [emoji28][emoji28], afu ukikiuliza haya USM amechukua vipi wewe una nini kwenye kabatini ni tobo tu.
Uzuri hata nyinyi mlilowa viwili kabla ya hii mechi, najua kukosa kombe kumekutoa kumbukumbu yote[emoji23].
 
مسيويويننبنبنبنببنبنذننذوذوذويوKUFA KIUME FAINAL[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
July 5
Wazee wa medali 😂😂😂
 
Njoo kiume muujue ugumu wa kufika hiyo robo fainali, makundi yenyewe tu una miaka 30.
Kiume wapi unaishia robo, maana hata shirikisho unaishia robo ila Yanga fainali.

Mimi huko nikifika robo ujue ndio naingia fainali.
 
Back
Top Bottom