FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Ngoja nikuweke wazi pengine hukupata bahati ya kusoma nilichokiandika kwenye uzi fulani.

Ni kwamba hivi

Mwaka jana kwenye kombe la dunia isingewezekana kwa mimi kufika hadi fainali kama ningekuwa nashabikia timu moja.

Kushabikia timu moja ni too risk unaweza ukakosa kila kitu.

Kwa kulijua hilo sasa nikuanbie tu, huko majuu nina kalabao nishaweka kabatini.

Hapa Afrika tayari leo nimepata kombe.

Kwa hiyo kukosa kwako wewe ubingwa dhidi ya USM ALGER hauwezi ukatumia hoja ya mimi kukosa ubingwa kama niia ya kujipatia furaha.

Na hii itawahitaji mchukue miaka 30 mingine mje mfike hatua kama hii.
We fala sana ujue😃
 
Hivi shabiki wa UTO UNAPATA WAPI NGUVU YA KULALA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ww CAFCC si bingwa wa kushiriki Mwakarobo,hufiki popote unaishia robo na hata ukija huku confederation unaishia robo.

Ngojea mwanaume msimu ujao nakuja huko kukupa shule.

Nyie endeleni kwasajili wakina Sawadogo na akina Okwa,huku mkiletewa muowaone wachezaji wazuri kwenye mikutano yenu kama wasimamizi wa uchaguzi.

Mimi hata huko CAFCC nikifika robo mtanikamatia fainali.
Msimu ujao? Kwani huu ilikuwaje ukatoka kule kiumeni licha ya kupangiwa ZALAN FC ambao hata safari ya kurudi kwao tu Sudan walitumia mwezi mmoja njiani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watulie sasa. Mwakani warudi kwenye uhalisia wao wa kuishia hatua za awali 🤣😂🤣
Waache ujinga wao kama wamechoshwa na kero walale na sio kutupangia namna gani tushangilie

Simba ilitolewa humu kila mmoja aliona dhihaka zilizofanywa na mashabiki wa Gongowazi

Ikaenda hadi kwa uongozi wa Club ya Yanga eti wakaunda tamasha kwa ajili ya kuicheka Simba.

Watu hawa leo hii ndio wanaotaka kutuziba midomo.

Sheeeeenziiiiiiii
 
Ngoja nikuweke wazi pengine hukupata bahati ya kusoma nilichokiandika kwenye uzi fulani.

Ni kwamba hivi

Mwaka jana kwenye kombe la dunia isingewezekana kwa mimi kufika hadi fainali kama ningekuwa nashabikia timu moja.

Kushabikia timu moja ni too risk unaweza ukakosa kila kitu.

Kwa kulijua hilo sasa nikuanbie tu, huko majuu nina kalabao nishaweka kabatini.

Hapa Afrika tayari leo nimepata kombe.

Kwa hiyo kukosa kwako wewe ubingwa dhidi ya USM ALGER hauwezi ukatumia hoja ya mimi kukosa ubingwa kama niia ya kujipatia furaha.

Na hii itawahitaji mchukue miaka 30 mingine mje mfike hatua kama hii.
Utahira gani huu, vipi kitobo kinauma kwani kwa yanga kuvaa medali?
 
Ligi ya Algeria
Screenshot_2023-06-04-00-57-47-37_955f68c4df44ad6a86e46b05cf65099a.jpg
 
Waache ujinga wao kama wamechoshwa na kero walale na sio kutupangia namna gani tushangilie

Simba ilitolewa humu kila mmoja aliona dhihaka zilizofanywa na mashabiki wa Gongowazi

Ikaenda hadi kwa uongozi wa Club ya Yanga eti wakaunda tamasha kwa ajili ya kuicheka Simba.

Watu hawa leo hii ndio wanaotaka kutuziba midomo.

Sheeeeenziiiiiiii
Chekeni basi
 
Vipi wewe ukiyepmbana kupitia vipers,Horoya umechukua nini? Au upo unamtunishia taqo muarabu[emoji28]
Kutochukua kombe, it's a pain in ass kwa wengi wenu maana mlikuwa na kiranga sana.

Mimi sina shida zaidi ya kufurahi tu, sina baya.
 
Back
Top Bottom