FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023


Sasa hao wanaocheza nusu fainali leo,
Asec kafungwa goli tatu kwa sifuri na Rivers ( katolewa na Yanga)
Na Huyo USM kafungwa goli mbili kwa sifuri na Marumo ( katolewa na Yanga)

Msione timu zilizofungwa na Yanga zimefika hapo ki Mungu tu, kama mnawaona hao wanacheza saivi ndio timu bora zaidi katika michuano hii basi tambua hizo timu zote zimefungwa na timu ambazo zimefungashiwa virago na Yanga
 
Mzee mwenzangu mimi ni YANGA DAMU
naongea kutokana na mfumo na uchezaji wa USM kama atapiga pila iliili yanga inakibarua kigumu
Inahitaji mbinu za kiufundi haswa
Kwakuwa YANGA kuna wachezaji wana tabia za kiuchoyo kwa hawa jamaa itatupa wakati mgumu
Wanakaba hatari na mbinu zao za kupokonya mpila si za kitoto
Na wakipata mpila ni kasi ya 5G kutafuta goli
Sasa soka la YANGA la kurelax kwa hawa jamaa
Nakwambia kazi ipo
Mana wanashambulia kwa kasi ya 5G na wanalinda kwa KASI ya 5G ileile
 
Mkuu mbona hii timu ni ya kawaida sana, hizo speed zao unazoongelea mbona hazijawaletea magoli? 1-0 paka Dak 75 halafu unawapa sifa kiasi hiki?
 
Kama walipigwa na Marumo watakaa tu
 
80'

Goooooooooooal

Belkacemi anaiandikia USM ALGER bao la pili hapa
 
Kipa anatokea sana
Sasa imewaghalimu goli ASEC
Etu Scars Hili goli kama hili walishindaga simba au yanga
Nakumbuka kuna mchezaji aliunyanyua mpila kiufundi namna hii ikawa gili moja tamu sana
 
Kipa anatokea sana
Sasa imewaghalimu goli ASEC
Etu Scars Hili goli kama hili walishindaga simba au yanga
Nakumbuka kuna mchezaji aliunyanyua mpila kiufundi namna hii ikawa gili moja tamu sana
Mudathiri alishawahi kufunga na Simba ishawahi funga ila sikumbuki ni mchezaji gani
 
Huo mpira wanaocheza USM ndio mpira mpya kwao wameanza kuucheza kwenye mechi ya leo? Inawezekana vipi Marumo aweze kumfunga goli mbili kwa sifuri kwa huo mpira wao halafu Yanga washindwe?
Yanga mpaka anafika hapa kakutana na timu tofauti tofauti ngapi? Kumbuka kuna watu + wachambuzi + mashabiki walisema Yanga atakufa mengi kwa Madiba kutokana na aina ya mpira wa Marumo kuwa wana kasi, wana uwezo wa kumiliki mpira, wanapiga pasi na wako compacted na wana intensity lakini nini kimetokea leo?
Mpira ni mbinu, unaingia na approach kulingana na mpinzani wako unayekutana nae.

Sioni sababu ya Yanga kushidwa kumfunga USM, ikiwa hao Marumo wameweza kumfunga magoli huyo mwarabu magoli mawili. Sio mpira wa kutishana bali ni mpira wa kujipanga. Yanga ilipofikia hapo kaishacheza na timu zenye mpira tofauti tofauti kwanzia kwa Al Hilal, Club African, Monastir, Real Bamako, Tp Mazembe, Rivers hadi kwa Marumo. Kocha akija na mbinu nzuri anawafunga kama walivyofungwa wengine tu
 
UEFA

Man City wanafunga bao la 4 hapa dakika ya 90+2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…