daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Wanaikamia yanga ipi? Azam ni kikundi cha wahuni tu.Lamba lamba wanachojua ni kuikamia Yanga
Hawakutaka kusikia πTULIWAMBIA LAKINI
Balesa ndiyo yuko uwanjani mkuu?Bahresa hajui biashara ya Mpira
bado kuna wale wanaopiga bomu mwachwariHawakutaka kusikia π
Ndio MkuuMkuu unatumia tv chogo??
Anajua. Kutengeneza timu ya ushindani Africa si jambo jepesi.Bahresa hajui biashara ya Mpira