FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

FT | CAFCL Final: Al Ahly SC 2-1 Wydad AC | First leg 04/06/2023

Sasa hapa Wydad wanaweza kupata confidence zaidi
 
90'
Tunasubiria za nyongeza
 
Utopolo na mpira wao wa kitoto kukamia na kukimbizana bila mipango hawana quality ya kucheza na hizi timu.

Saizi ya utopolo united ni Marumo na rivers![emoji23]
Sawa mzee wa nyama robo
 
Hivi hawa ndo walicheza na Simba eee tukawatoa jasho kwetu na kwao mpka matuta eeee...
 
90+2

Al Ahly wanapiga shuti linaenda nje ya lango ni nchi chache sana na usawa wa goli
 
68'

Goooooooooooal

Wydad wanaandika bao la pili baada ya uzembe wa kipa kutoka kwenda kukaba mpira na kuliacha lango.

Kipa kapigwa chenga ikapigwa pasi ikamkuta muuaji kafumua shuti kali na kuandika bao la pili.

Huu uzembe huwezi kuuona anafanya Diarra
???
 
Back
Top Bottom