Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
wanasonga na upepo wa Simba.Sahihi kabisa kasro tu msimu wa 2018/2019 pekee ambapo Tp Mazembe ilimto Simba na hawakufika fainali
2020/2021 Kaize chiefs klabu bingwa
2021/2022 Orlando pirates Shirikisho
2022/2023 Wydad klabu bingwa
"Wydad mbovu kabisa" kwa kipimo kipi?Sundowns katoa sare hii game kizembe sana,kwa mtindo huu hawa waarabu sijui wanatuonaje.Wydad mbovu kabisa hii wanamuondosha Sundowns.. [emoji848]
Ona huyu naye[emoji23]Nikitaka Yanga akutane na Mamelodi super cup...
Umenena vema. Hao Mamelodi ni viazi mbatata. Hawana maajabu. Kwa hela zinazowekezwa ligi ya Sauzi ingekua ndiyo hapa nyumbani nakuambia timu zetu zingefika mbali. Wasauzi wanajua kuchezesha ile miguu yao kwenye muziki.Huo ni mtizamo hasi mzee, hizo cards walipewa na Wydad?! Walifanya makosa wakaadhibiwa na refa kwa rafu zao mbaya labda kama hakuangalia hiyo game. Acha watoke, kwakifupi hawa jamaa ni wajuaji sana sawa na timu ya Taifa ya Brazil. Wameshindwa kufunga goli kipindi cha kwanza, cha pili baada ya kupata goli la kwanza wakaanza show game likarudishwa, wakafunga la pili wakarudia ujinga ule ule wakajifunga. Sasa hapo kosa la mwarabu ni nini?! Acheni chuki binafsi hawa Masandawana wametolewa kwa ujinga wao
Kiko wapi[emoji23]Simba bonge la timu aisee nimeamin
Pumbavu Santa hii tvHawa ZBC vipi tena?
Nakufungwa fainaliπmaranyingi imetokea anaemtoa Simba robo huwa anakwenda mpaka final.
Ukiwaendekeza mashabiki hutofika popoteWanasema financial ya kusafiri ya mashabiki ni shida.
Kama Wydad inajua mpira basi Africa tuna ligi mbovu sana. Hao Wydad siwaoni kama wanajua kivile, yani ni mtihani wa vilaza ambao lazima awepo wa kwanza. Bado tuna safari ndefu kwenye soka sisi na bara letu."Wydad mbovu kabisa" kwa kipimo kipi?
Yaani wana akili ya ovyo sana, walikuwa wana kila sababu ya kufuzu hii hatua ila upumbavu wao wenyewe.Huo ni mtizamo hasi mzee, hizo cards walipewa na Wydad?! Walifanya makosa wakaadhibiwa na refa kwa rafu zao mbaya labda kama hakuangalia hiyo game. Acha watoke, kwakifupi hawa jamaa ni wajuaji sana sawa na timu ya Taifa ya Brazil. Wameshindwa kufunga goli kipindi cha kwanza, cha pili baada ya kupata goli la kwanza wakaanza show game likarudishwa, wakafunga la pili wakarudia ujinga ule ule wakajifunga. Sasa hapo kosa la mwarabu ni nini?! Acheni chuki binafsi hawa Masandawana wametolewa kwa ujinga wao
Wameona kama tulicheza kwao tukiwa 10 tukatoa draw wakija nyumbani tunawanyoosha hasa ukiangalia rekodi ya Mamelodi kwa waarabu.Unamuunderrate bingwa mtetezi wa kombe??????
Hakuna ujinga waliofanya hii ni football sometimes inakuaga na matokeo ya ajabuHuo ni mtizamo hasi mzee, hizo cards walipewa na Wydad?! Walifanya makosa wakaadhibiwa na refa kwa rafu zao mbaya labda kama hakuangalia hiyo game. Acha watoke, kwakifupi hawa jamaa ni wajuaji sana sawa na timu ya Taifa ya Brazil. Wameshindwa kufunga goli kipindi cha kwanza, cha pili baada ya kupata goli la kwanza wakaanza show game likarudishwa, wakafunga la pili wakarudia ujinga ule ule wakajifunga. Sasa hapo kosa la mwarabu ni nini?! Acheni chuki binafsi hawa Masandawana wametolewa kwa ujinga wao
Tuta cheza na Al AhlyNikitaka Yanga akutane na Mamelodi super cup...
Mkuu Wydad ya msimu huu ni mbovu sina muda wa kubishana na wewe!!!"Wydad mbovu kabisa" kwa kipimo kipi?
kwa hiyo angemtoa pia MamelodiNajaribu kuwaza SIMBA angemtoa WYDAD
Kama ni wabovu wameiondoshaje Mamelodi na kumbuka Wydad ni bingwa mara tatu wakati hao Mamelodi ni bingwa mara moja tu.Sundowns katoa sare hii game kizembe sana,kwa mtindo huu hawa waarabu sijui wanatuonaje.Wydad mbovu kabisa hii wanamuondosha Sundowns.. π€
Nilisema wydad anashinda πππWydad anashinda hii gem
Mkuu Wydad ya msimu huu ni mbovu sina muda wa kubishana na wewe!!!
Kama Wydad inajua mpira basi Africa tuna ligi mbovu sana. Hao Wydad siwaoni kama wanajua kivile, yani ni mtihani wa vilaza ambao lazima awepo wa kwanza. Bado tuna safari ndefu kwenye soka sisi na bara letu.