FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Wapendwa wangu wa msimbaziiii mpooooooooooooo....tukutane fainali
Msipuuze mdomo wangu...
 
Moja ya mkakati ni kuchuku makomne yote ya ndani.

Na tayari moja lipo kabatini linaita wenzake
Na ndo hilo mtakaloishia, hamna kombe lolote mnaloweza kushinda maana kanuni hazina msaada tena baada ya hapa... [emoji23][emoji23]
 
Wewe ni Nikuulize el mereck uliye mtoa ni TEAM ya nchi ipi? kwanini hakucheza nchini kwake ?nani kawaruhusu ? Ukipata majibu yamejibu swali lako.
 
Ni lini yanga mbovu iliwahi kuingia makundi? Simba hata ikiwa mbovu inacheza makundi
kwa kanuni au sio? ... kama unabisha sema mechi uloshinda mpaka ukaingia hapo group stage? [emoji23][emoji23] kutoka kuingia kwa ushindi mpaka kanuni? What went wrong broda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…