Neno kushinda halikuwa sehemu ya mpango wa Club.Kikanuni ndo nini?
Umefika makundi kwa kushinda game ipi? ebu taja ...
Umeingia kwa kanuni za kipuuzi za goli la ugenini, kanuni ambazo Ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa .. au kuna game mmeshinda mzee? [emoji2]
hahahaha nasubiri mrejesho wa uzi wa kutaka ushauri mkuu, usije kusahau kun-tag bwanaUyu nataka niweke ndani mzee hahaha
khakhaaa.. kwakweli unastahili kufurahiiii sio kwa kuponea chupuchuku😁😁😁😂!! Hata Kama ni OG ndio imeshaenda hivo🤠🤠🤠!Asante kipenzi...mimi napokea sijui kwa wengine ila kwangu Mungu ametenda...😆😊😊😊
Yanga ipi ambayo imefungwa na simba ngao ya hisani?Ukute Simba hii wala sio mbovu ni vile Tu mnailinganishaga na Yanga.
Al merreikh katolewa kwasababu kafungwa home (huko alipopachagua yeye) na away (hapa Azam complex) ... yani kapigwa kotekote .. anatoka hana malalamiko ... wewe umefikaje group stage? ... umeshinda wapi??Wewe ni Nikuulize el mereck uliye mtoa ni TEAM ya nchi ipi? kwanini hakucheza nchini kwake ?nani kawaruhusu ? Ukipata majibu yamejibu swali lako.
Huo ni kama ujinga wa kufurahia kufika fainali wakati kombe wamechukua wengineAl merreikh katolewa kwasababu kafungwa home (huko alipopachagua yeye) na away (hapa Azam complex) ... yani kapigwa kotekote .. anatoka hana malalamiko ... wewe umefikaje group stage? ... umeshinda wapi??
Umefika hapa only kwasbb ya kanuni za ujima, nothing else.
Robo ipi wewe?Aahaaaaaa,mkuu atakayevuka robo ndo mwanaume hapa Tanzania
Tuliza munkari tuache wana Simba tuvimbe...kila mtu ashinde mechi zake...Labda fainali ya ndondo
Kufika fainali unadhani ni rahisi?Huo ni kama ujinga wa kufurahia kufika fainali wakati kombe wamechukua wengine
Sasa wewe umeshinda mechi gani? [emoji2]Tuliza munkari tuache wana Simba tuvimbe...kila mtu ashinde mechi zake...
Kanuni zipo halali hadi zitakapofutwa.Aliyefuzu mashindano kwenda hatua inayofuata ndiye aliyeshinda.Kuzidharau kanuni wakati zipo kihalali ni kujitoa ufahamu au wivu.Zingatia point mzee.
Wewe umemtoa mpinzani kwa kushinda game gani?? Wapi?? Maana kote umetoa sare.
Wewe umemtoa mshindani kwasababu ya kanuni tu. Kanuni za zama za ujima. Kama ni tofauti, leta hapa game uloshinda dhidi ya huyo mpinzani. Mbona it is quite simple.
Mka print na kanga za kutupiga majungu
Ww vipi?? Mmepiga bomu mochwari ndo kelele nyingiii..watu wana stress hawajaseto nao mnahesabia mmeshinda??.Sasa wewe umeshinda mechi gani? [emoji2]
Ana wivu mkali..tumpepee...Kanuni zipo halali hadi zitakapofutwa.Aliyefuzu mashindano kwenda hatua inayofuata ndiye aliyeshinda.Kuzidharau kanuni wakati zipo kihalali ni kujitoa ufahamu au wivu.
Unasema kila mtu ashinde mechi zake, wewe umeshinda mechi ipi? [emoji16][emoji16] sema tuisikie.Ww vipi?? Mmepiga bomu mochwari ndo kelele nyingiii..watu wana stress hawajaseto nao mnahesabia mmeshinda??.
kwani wapi tumefungwa?? Niambie wapi tumefungwa...kule tumetoka droo kapigwa mbili...huku droo kapewa assist kafunga mwenyewe aliemtuma afunge ni nani?? So far so good hakuna
tulipofungwa...hata ingekuwaje leo iwe kwa penalty or otherwise Simba angeshinda...
Kama una umia na jinsi tulivyoingia makundi karipoti FIFA [emoji196] [emoji3]
Tumeshinda mechi zote...au hujui kushinda nini?? Kushinda ni kuendelea na hatua inayofuata...Unasema kila mtu ashinde mechi zake, wewe umeshinda mechi ipi? [emoji16][emoji16] sema tuisikie.
Mkuu gigabyte dah mm siwezi kukubishia hata kitu kimoja wewe.Kanuni zipo halali hadi zitakapofutwa.Aliyefuzu mashindano kwenda hatua inayofuata ndiye aliyeshinda.Kuzidharau kanuni wakati zipo kihalali ni kujitoa ufahamu au wivu.
Zote zipi? Taja hata moja uloshinda [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787]Tumeshinda mechi zote...au hujui kushinda nini?? Kushinda ni kuendelea na hatua inayofuata...
Una swali.??
Kwani hizo kanuni zipo kwa ajili ya Simba pele yake?Na ndo hilo mtakaloishia, hamna kombe lolote mnaloweza kushinda maana kanuni hazina msaada tena baada ya hapa... [emoji23][emoji23]