Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Neno kushinda halikuwa sehemu ya mpango wa Club.Kikanuni ndo nini?
Umefika makundi kwa kushinda game ipi? ebu taja ...
Umeingia kwa kanuni za kipuuzi za goli la ugenini, kanuni ambazo Ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa .. au kuna game mmeshinda mzee? [emoji2]
Neno ambalo lilikuwepo ni kufika makundi.
Maana yake kama kungehitajika kushinda mechi ili tufike makundi basi ungeona ambition za kusaka ushindi zinafanyika.
So ilikuwa ni eidha aombe afu anyimwe au aibe kisha apigwe.