FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Kikanuni ndo nini?

Umefika makundi kwa kushinda game ipi? ebu taja ...

Umeingia kwa kanuni za kipuuzi za goli la ugenini, kanuni ambazo Ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa .. au kuna game mmeshinda mzee? [emoji2]
Neno kushinda halikuwa sehemu ya mpango wa Club.

Neno ambalo lilikuwepo ni kufika makundi.

Maana yake kama kungehitajika kushinda mechi ili tufike makundi basi ungeona ambition za kusaka ushindi zinafanyika.

So ilikuwa ni eidha aombe afu anyimwe au aibe kisha apigwe.
 
Asante kipenzi...mimi napokea sijui kwa wengine ila kwangu Mungu ametenda...😆😊😊😊
khakhaaa.. kwakweli unastahili kufurahiiii sio kwa kuponea chupuchuku😁😁😁😂!! Hata Kama ni OG ndio imeshaenda hivo🤠🤠🤠!
 
Wewe ni Nikuulize el mereck uliye mtoa ni TEAM ya nchi ipi? kwanini hakucheza nchini kwake ?nani kawaruhusu ? Ukipata majibu yamejibu swali lako.
Al merreikh katolewa kwasababu kafungwa home (huko alipopachagua yeye) na away (hapa Azam complex) ... yani kapigwa kotekote .. anatoka hana malalamiko ... wewe umefikaje group stage? ... umeshinda wapi??

Umefika hapa only kwasbb ya kanuni za ujima, nothing else.
 
Huo ni kama ujinga wa kufurahia kufika fainali wakati kombe wamechukua wengine
 
Zingatia point mzee.

Wewe umemtoa mpinzani kwa kushinda game gani?? Wapi?? Maana kote umetoa sare.

Wewe umemtoa mshindani kwasababu ya kanuni tu. Kanuni za zama za ujima. Kama ni tofauti, leta hapa game uloshinda dhidi ya huyo mpinzani. Mbona it is quite simple.
Kanuni zipo halali hadi zitakapofutwa.Aliyefuzu mashindano kwenda hatua inayofuata ndiye aliyeshinda.Kuzidharau kanuni wakati zipo kihalali ni kujitoa ufahamu au wivu.
 
Sasa wewe umeshinda mechi gani? [emoji2]
Ww vipi?? Mmepiga bomu mochwari ndo kelele nyingiii..watu wana stress hawajaseto nao mnahesabia mmeshinda??.

kwani wapi tumefungwa?? Niambie wapi tumefungwa...kule tumetoka droo kapigwa mbili...huku droo kapewa assist kafunga mwenyewe aliemtuma afunge ni nani?? So far so good hakuna

tulipofungwa...hata ingekuwaje leo iwe kwa penalty or otherwise Simba angeshinda...
Kama una umia na jinsi tulivyoingia makundi karipoti FIFA 🐸 😀
 
Ww vipi?? Mmepiga bomu mochwari ndo kelele nyingiii..watu wana stress hawajaseto nao mnahesabia mmeshinda??.

kwani wapi tumefungwa?? Niambie wapi tumefungwa...kule tumetoka droo kapigwa mbili...huku droo kapewa assist kafunga mwenyewe aliemtuma afunge ni nani?? So far so good hakuna

tulipofungwa...hata ingekuwaje leo iwe kwa penalty or otherwise Simba angeshinda...
Kama una umia na jinsi tulivyoingia makundi karipoti FIFA [emoji196] [emoji3]
Unasema kila mtu ashinde mechi zake, wewe umeshinda mechi ipi? [emoji16][emoji16] sema tuisikie.
 
Back
Top Bottom