FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Tunacheza kama Tunaogopa sijui nini mpira hautulii...Yaaani wachezaji wako na anxiety utadhania wanacheza na Barca au Real Madrid kumbe wanacheza na Power Dynamo tu Yaaani huu ni upuuzi

Hakuna Formula ya Uchezaji na tumefanya uwekezaji mkubwa kwenye Wachezaji lakini Zero kabisa...

Lile sio Goal la kufungwa kipa mzembe (Sasa huyu ndo kipa wa Bil.3 Kweli...

Kuna mambo Huwa yanauma na kukera sana...
Tukiendelea na mchezo tuliocheza First Half sioni tukitoboa...
Ni mpuuzi tu ndo anaweza kuvumilia haya machungu na huu ujinga tunaofanyiwa hapa

#Nguvu Moja
 
Pole mkuu. I can feel your pain. Jikaze kiume!
 
Back
Top Bottom