FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

Simba yupi alie enda ku draw na Namungo kisha akala kichapo kwa Azam?
 
Simba yupi alie enda ku draw na Namungo kisha akala kichapo kwa Azam?
Huyo huyo ndio ujuage kuwa Azam na Namungo ilikuwa ngekewa.

Kuthibitisha hilo kamsikikize Zakazakazi namna anavyoelezea jinsi walivyo bahatika
 
Simba niwazuri kuliko wydad sema simba waliwaogopa ndio kilichowatoa nahasa game ya taifa,Nabi angewatoa hawa
Umeanza vizuri umemaliza hovyo.

Lini uliwahi kuona mbinu za Nabi dhidi ya timu kubwa?

Kama Al Hilal tu ambao walikuwa wanaanza kusuka timu kwa kufumua fumua kuanzia kikosi cha wachezaji wa ndani hadi technically bench lakini bado alishindwa kukaza upaja.

Sasa kwa Wydad angewezaje?
 
Simba wazuri ila msimu wa pili huu hawana hata kikombe cha mbuzi
 
Ni Mamelod pekee Katika.vidume vya sokaAfrika hakijapelekewa moto na Simba... Mwaka huu tunewakosa kidogoooo!
 
Mamelod ni team aseeeh, wachezaji pungufu wawili na bado wamekazaa, daaah hii hatari.
 
Kwa mpira huu wa Wydad, Itoshe kusema Simba ilitolewa na timu mbovu sana. Na bado wakapongezana eti wamekufa kiume[emoji23][emoji23], Kufungwa na timu mbovu kama hii ni usenge uliopitiliza
Peleka timu yako uone kitakachokukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…