Mpaka useme mkuu, Subiri ufurahie show za dkk za mwisho
AiseeMkuu mimi ni shabiki wa BarΓ§a leo nilikuwa PSG kwa mkopo tu
By the way janja Yamal yupo kwenye nafasi nzuri ya kuwania Balon d'Or
Kwanza huyo Mendez si ndio walikuwa wanamsifu kuwa alimkaba Yamal mbona leo goli zote 2 zimepitia kwake
Pedri atabaki kuwa bora kuliko Vitinha.
Kinyonge sana mkuu, kama sio yule uliyekuwa Mpayukaji πMkuu mimi ni shabiki wa BarΓ§a leo nilikuwa PSG kwa mkopo tu
By the way janja Yamal yupo kwenye nafasi nzuri ya kuwania Balon d'Or
Kwanza huyo Mendez si ndio walikuwa wanamsifu kuwa alimkaba Yamal mbona leo goli zote 2 zimepitia kwake
Pedri atabaki kuwa bora kuliko Vitinha.
πππ₯Kila saa. PSG wanataka kupigana tuu π
Mtachapika vibaya sana nyie vibonde
Kinyonge sana mkuu, kama sio yule uliyekuwa Mpayukaji π
Ngumu sanaHapa ushindi ni wetu, hao PSG hata wakatambike na mizimu ya babu zao ifufuke, hawarudishi π π π π π π π
Chelsea ππππππππππππ
Wee angalia wao wangapi kwa beki ngapiWamesomeka vizuri
Hao sio 5imba mkuuChelsea wameweka kitu golini kwao
Naona kocha wao anashindia kwenye tanuru la barafuPSG wameanza panic Huku π