Msijali msimuu ujao wasiponitishia nitamwaga upupu wote wa kushinda mechi ila kutakuwa na sharti ukila unantumia na mimi lakini usinitumie ile ulioshinda unantumia uliyopata kwa kazi nyingine.Hahaha kashindikana aisee
Kocha wenu nae hujamuona, amekuwa mkufunzi wa ndondi 😂PSG wamechanganyikiwa kwa kweli si umeona Donnarumma anarusha hadi vitasa
Kocha wenu nae hujamuona, amekuwa mkufunzi wa ndondi 😂
Luis amepiga ngumi mchezaji wa chelseaPSG wamechanganyikiwa kwa kweli si umeona Donnarumma anarusha hadi vitasa
Timu ambayo huwa haitegemewi kabisa na dunia ikifika fainali imefanya yake.Watu wenye mioyo ya Jiwe ndo waliokomaa na Chelsea hadi mwisho, eventually done
Luis amepiga ngumi mchezaji wa chelsea
We gonna sue
Mpira huwa una matokeo ya kikatili sana. Cha ajabu miaka yote ambapo huwa Chelsea FC haijawa katika ubora kabisa ila ikifika fainali inanyakua makombe.
Poa ngoja tusubiri.Msijali msimuu ujao wasiponitishia nitamwaga upupu wote wa kushinda mechi ila kutakuwa na sharti ukila unantumia na mimi lakini usinitumie ile ulioshinda unantumia uliyopata kwa kazi nyingine.
Kirahisi tu hivyo Mkuu, sheria za nini sasa ikiwa mchezo usiohitaji hasira utakuwa uwanja wa masumbwi kwa kila mcheza soka?Kufungwa na underdog goli 3 bila sio poa kaka jaribu kuvaa viatu vyake msameheni tu fair play
Palmer amepiga palepale zote 2Kufungwa na underdog goli 3 bila sio poa kaka jaribu kuvaa viatu vyake msameheni tu fair play
Sanaa plan b inaitwaWamekufa mapema
Hii zuga aliejiangusha, ila alierusha ngumi huyo atayaona maisha machungu muda sio mrefu.....PSG wachukua ubingwa wa ndondi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3405058
Kwani shida ilikuwa nini hapo 😂Hii zuga na alierusha ngumi
Ndo Yale ya Simba na yanga.Amini haya matokeo yanawatesa zaidi mashabiki wa Man U, Arsenal na Liverpool kuliko wa PSG