FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

lawama zinapoanzia ni pale ambapo upande wake ambao unaaminika kuwa ni tishio jana uligeuka kuwa pitio, 2 goals za kurudia script kabisa, attitude mbovu imemjaa pia nasema haya coz tumewaona leftbacks mafundi the likes of Marcelo watulivu kama Davies. Mbona hasemwi Hakimi, Mendes ni overrated bhana
 
Walinzi wa Rais Tanzania wajifunze kwenye ulinzi wa Trump.
Trump aliachwa akiwa huru hadi kuruka ruka
 
Huwezi kuhukumu madhaifu ya mchezaji yeyote tokana na mechi 1 au 2 pekee, unapaswa ujiridhishe kuanzia mechi 5 na kuendelea.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Walinzi wa Rais Tanzania wajifunze kwenye ulinzi wa Trump.
Trump aliachwa akiwa huru hadi kuruka ruka
Ukitaka umuone Trump akiwa free fuatilia mchezo wa ngumi mnyambuko (MMA) ligi ya UFC mara nyingi anahudhuria na kujichanganya na washabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…