FT: Chelsea FC 3-0 Paris Saint-Germain | FIFA Club World Cup | Final Match | MetLife Stadium | July 13, 2025.

Pure English.
Grade 1
 
PSG ni Bingwa wa Dunia kwa ubora walionao wacha wachukue tu wamecheza mechi ngumu ya Bayern tu hizo zingine walikua wanatembea kila kitu Vitihna alikua kashika pale kiungo mtu anacheza 6 kama 8 ya zamani..
 
Naona ft ka drw kananukia

Ukiwa kkamaria weka
12&3+
MXB all yr mny
 
Lile la aluminium halafu linajaza screen wakati game inaendelea
Hy kujaza screen wakati game inaendelea Mbona ni ishu ya dunia nzima mkuu?

Khs tangazo la aluminum πŸ˜‚ c ishu tuu ya wadhamini dunia mzima ipo hvy mbona za Ulaya unaona matangazo ya kubet na hulalamiki?
 
Hatujaelewana Mkuu
 
Kuna mtu anaitwa Fabian Ruiz nikimuonaga huwa namkumbuka Fernando Redondo, vitoto vya 2000 haviwez kumjua huyu mwamba
 
Imagine haya maandalizi ni kwa ajili ya Chelsea kuchukua ubingwa πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…