FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Kwa kipindi cha pili Yanga wamecheza mpira wao wa kasi Coastal union wanapelekeshwa mashambulizi kila mara.
 
Nimeshajua kwanini walitufunga Hawa vyura
Kumbe ni kweli miamala ya mabeki wetu ilisoma mapema Sana kudadekiiii 😠😠
 
Kwani mageni basi?
IMG-20231108-WA0001.jpg
 
Dakika ya ngapi?
Tupeni updates wakuu
 
Back
Top Bottom