FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Kwani hizi thread zina nini siku hizi jamani hadi watu mnawahi kuzipost saa sita ya usiku?

Hizi ndio mechi za kuwachezesha Metacha, Kibwana, Fredy, Mauya, Sureboy, Konkoni, Moloko,Skudu hata Musonda maana hana msaada wowote first eleven.

Wazee wa kazi wapumzike, huwezi kumuanzisha Profesa Pacome Vs Coastal ni uonevu na unyanyasaji.
Dah! Baada ya kuwafunga Simba😄🤦🏾‍♂️

Utadhani mmeshinda club World Cup or something
 
Utopolo vp mnataka toa draw?? Tumeweka hela sisi
 
Refa anatumia muda mwingi sana kupiga stori na wachezaji. Refa anachangia kutupotezea muda.
 
Eeh Mungu unajua nachohitaji kwa wadogo zangu wa Tanga
Mke mdogo naona anaharibu ladha ya mpira kwa kufanya vituko wakiogopwa kupigwa mkono wa nyani kama mke mkubwa. Waambie watulie, wakipigwa kadi nyekundu msianze kujiliza.
 
Back
Top Bottom