Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Njano mbili siku hizi siyo red card? Au ni macho yangu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄Hao wachawi wa Tanga!
KwakweliGoli tano zinazitesa sana timu nyingi
Mtakoma leooooo[emoji16].Refa Wape red card wasumbufu haoooo
Ya mwanzo aliifuta!Njano mbili siku hizi siyo red card? Au ni macho yangu tu.
Wacha warelax..wametoka vitaniDu! wakuu bado bila bila, mbona naanza kuskia kizungu zungu.
Tafuta timu ya kushabikia, Yanga hatuna mashaka na timu yetu, ni swala la muda tu.Du! wakuu bado bila bila, mbona naanza kuskia kizungu zungu.
Dakika ya ngapi?Coastal hawajahongwa? Tutawapiga za netball
Dakika ya ngapi!Tafuta timu ya kushabikia, Yanga hatuna mashaka na timu yetu, ni swala la muda tu.
Hebu Waache mchechetooo !!Mtakoma leooooo[emoji16].
hao ni wadogo zetu wamekasirika
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Coastal please neutralize hali ya mtaa
41'Dakika ya ngapi!
Mpira unachezwa dakika ngapi?Dakika ya ngapi!
Nyie sio watani zetu tena,tushafuta utani na nyinyi,kwa hiyo hii haichekeshi.FC Utopolo, Manyani, Vidimbwi, Vyura, Rushwa, Mihogo, Mwiko Nyuma, ...
Utateseka sana, huwezi kuzuia mvua.Coastal please neutralize hali ya mtaa
🤣🤣🤣🤣
Hadi Half Time mko bila bilaUtateseka sana, huwezi kuzuia mvua.
90' mkuu.Mpira unachezwa dakika ngapi?