FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Kasi leo ipo chini nadhani kiutokana na muda wa kupumzika kutoka kwenye mechi derby
 
Refaree kwa kutoa kadi hajiulizi mara mbiliiii!
 
Goli tano zinazitesa sana timu nyingi, cost wameamua kufanya uhuni
 
Du! wakuu bado bila bila, mbona naanza kuskia kizungu zungu.
 
Back
Top Bottom